2 Bedrooms Apartment at Banana

Price negotiable: 300,000
  • Shiriki kwenye mtandao wa kijamii

Apartment ni ya kisasa, bado mpya kabisa, ina vyumba viwili vikubwa, kimoja ni master, sebule, jiko, umeme na maji vinapatikana, parking ipo kubwa ya kutosha, mazingira ni mazuri na yanafaa kwa makazi, ulinzi upo.

Mji / Jiji / Kijiji:Dar es Salaam - Tanzania
Tarehe ya kutengenezwa13.01.2018
Ad number:535
KikundiAccommodation
Maneno muhimu:2 Bedrooms Apartment at Banana

Tuma ujumbe kwa mtumizi

 Mapendekezo yetu na ushauri
Kwa ujumla tunaamini kuwa watangazaji wetu wote na watoa huduma ni wa kweli. Lakini ili kuepuka kudanganywa na kwa ajili ya usalama wako mwenyewe, hakikisha umekutana na muuzaji katika mahali pa umma ama ujiepushe na maeneo yaliyojitenga na umma. Inaweza kuwa wazo nzuri kumleta rafikiyo kushuhudia ile shughuli.