3 Bedrooms Apartment at Kariakoo - Livingstone

Price negotiable: 750,000
  • Shiriki kwenye mtandao wa kijamii

Apartment ni ya kisasa, bado mpya kabisa, ina vyumba vitatu vikubwa kimoja ni self, sebule, jiko, umeme na maji vinapatikana, lift ipo, Full AC, heater, Balcony, Parking pia ipo, service charge ipo ndani ya kodi, ulinzi na usalama upo wa kutosha, ipo mtaa mzuri wa Livingstone.

Mji / Jiji / Kijiji:Dar es Salaam - Tanzania
Tarehe ya kutengenezwa13.01.2018
Ad number:533
KikundiAccommodation
Maneno muhimu:3 Bedrooms Apartment at Kariakoo - Livingstone, house for rent

Tuma ujumbe kwa mtumizi

 Mapendekezo yetu na ushauri
Kwa ujumla tunaamini kuwa watangazaji wetu wote na watoa huduma ni wa kweli. Lakini ili kuepuka kudanganywa na kwa ajili ya usalama wako mwenyewe, hakikisha umekutana na muuzaji katika mahali pa umma ama ujiepushe na maeneo yaliyojitenga na umma. Inaweza kuwa wazo nzuri kumleta rafikiyo kushuhudia ile shughuli.

matangazo mengine ambayo yanaweza kukuvutia Matangazo mengine sawa