New House for sale kinondoni.

Price negotiable: 250,000,000
  • Shiriki kwenye mtandao wa kijamii

Nyumba nzuri sana mpya ya kisasa Inauzwa kinondoni vyumba3 kimoja master bedroom, sitting & dining room, public toilet, kitchen, parking, Bei milioni400 adi350 inayo hati,full Ac,full camera,security fence, kinondoni ni karibu na kariakoo na mjini, ipo ndani ya fensi parking

Mji / Jiji / Kijiji:Dar es Salaam - Tanzania
Tarehe ya kutengenezwa13.01.2018
Ad number:531
KikundiAccommodation
Maneno muhimu:New House for sale kinondoni.

Tuma ujumbe kwa mtumizi

 Mapendekezo yetu na ushauri
Kwa ujumla tunaamini kuwa watangazaji wetu wote na watoa huduma ni wa kweli. Lakini ili kuepuka kudanganywa na kwa ajili ya usalama wako mwenyewe, hakikisha umekutana na muuzaji katika mahali pa umma ama ujiepushe na maeneo yaliyojitenga na umma. Inaweza kuwa wazo nzuri kumleta rafikiyo kushuhudia ile shughuli.