Nyumba ya kupanga mbezi beach.

Price negotiable: ASK
  • Shiriki kwenye mtandao wa kijamii

Nyumba nzuri sana inapangishwa mbezi beach sehemu safi vyumba4 self-contained kimoja master bedroom, sitting & dining room, kitchen, servant quarter, Garden, full Ac,full camera, security fence, swimming pool, Inapangishwa Mbezi beach dola elfu tatu. Kwa mahitaji ya nyumba safi za kununua au za kupanga kulingana bajeti yako apa Dar fika ofisini kwetu kinondoni mtaa wa ufipa tukuondolee usumbufu tupigie

Mji / Jiji / Kijiji:Dar es Salaam - Tanzania
Tarehe ya kutengenezwa13.01.2018
Ad number:520
KikundiAccommodation
Maneno muhimu:Nyumba ya kupanga mbezi beach

Tuma ujumbe kwa mtumizi

 Mapendekezo yetu na ushauri
Kwa ujumla tunaamini kuwa watangazaji wetu wote na watoa huduma ni wa kweli. Lakini ili kuepuka kudanganywa na kwa ajili ya usalama wako mwenyewe, hakikisha umekutana na muuzaji katika mahali pa umma ama ujiepushe na maeneo yaliyojitenga na umma. Inaweza kuwa wazo nzuri kumleta rafikiyo kushuhudia ile shughuli.