Nyumba ml45 Inauzwa Tabata

Price negotiable: 45,000,000
  • Shiriki kwenye mtandao wa kijamii

Nyumba mpya ya kisasa inauzwa bei poa Tabata Liwiti.Vyumba3 kimoja master bedroom, sitting & dining room, kitchen, public toilet, ndani ya gate ipo sehemu safi,usafiri Ina fika bajaji tu bei yake milioni 45 maongezi makubwa yapo pia tunazo nyumba za bei nafuu za kisasa sehemu mbali mbali apa Dar fika ofisini kwetu kinondoni mtaa wa ufipa tukusaidie

Mji / Jiji / Kijiji:Dar es Salaam - Tanzania
Tarehe ya kutengenezwa10.01.2018
Ad number:439
KikundiAccommodation
Maneno muhimu:Nyumba ml45 Inauzwa Tabata

Tuma ujumbe kwa mtumizi

 Mapendekezo yetu na ushauri
Kwa ujumla tunaamini kuwa watangazaji wetu wote na watoa huduma ni wa kweli. Lakini ili kuepuka kudanganywa na kwa ajili ya usalama wako mwenyewe, hakikisha umekutana na muuzaji katika mahali pa umma ama ujiepushe na maeneo yaliyojitenga na umma. Inaweza kuwa wazo nzuri kumleta rafikiyo kushuhudia ile shughuli.