Nyumba mpya ya kisasa inauzwa ununio bei poa.

Price negotiable: 180,000,000
  • Shiriki kwenye mtandao wa kijamii

Nyumba Nzuri sana mpya ya kisasa inauzwa Tegeta ununio Milioni 190 maongezi.Inavyumba3 kimoja master bedroom,sitting & dining room, kitchen, store, parking kubwa nyumba imejengwa vizuri sana mtaa mzuri Ina hati,Kwa mahitaji ya kununua nyumba safi ya kisasa bei nafuu,kiwanja/ nyumba za kupanga sehemu yoyote apa Dar fika ofisini kwetu kinondoni mtaa wa ufipa tunazo nyumba nyingi nzuri za kuuza bei tofauti tofauti kulingana na bajeti yako piga

Mji / Jiji / Kijiji:Dar es Salaam - Tanzania
Tarehe ya kutengenezwa10.01.2018
Ad number:421
KikundiAccommodation
Maneno muhimu:house for sale

Tuma ujumbe kwa mtumizi

 Mapendekezo yetu na ushauri
Kwa ujumla tunaamini kuwa watangazaji wetu wote na watoa huduma ni wa kweli. Lakini ili kuepuka kudanganywa na kwa ajili ya usalama wako mwenyewe, hakikisha umekutana na muuzaji katika mahali pa umma ama ujiepushe na maeneo yaliyojitenga na umma. Inaweza kuwa wazo nzuri kumleta rafikiyo kushuhudia ile shughuli.

matangazo mengine ambayo yanaweza kukuvutia Matangazo mengine sawa