kiwanja kinauzwa maji yapo machanga upo wa kujengea muhusika mwanamke hamna dalali

Fix price: 3000000 TSh
  • Shiriki kwenye mtandao wa kijamii

Viwanja vinauzwa vikindu mbagala
=======================
Bei Mil 3
Miguu 20 kwa 20 na kuendelea..
eneo zuri lina maji na mchanga wa kujengea upo haphapo .
kiwanja kipo umbali wa km 1 kutuko barabara kuu ya lami ya mbagala
muhusika ni mwanamke hakuna dalali wala hamna kudalalia Mawasiliano : 0754564750

Viwanja vipo maeneo mengi kama Mbagala, Visiga n.k
Miundombinu mizuri na bei ni poa

Wahi mapeema upate miliki Ardhi yako mwenyewe isiyo na shida yyt ya Maji kujaa wala migogoro

Mji / Jiji / Kijiji:Dar es Salaam - Tanzania
Tarehe ya kutengenezwa22.06.2019
Ad number:2261
Kikundi
Maneno muhimu:Viwanja, ardhi

Tuma ujumbe kwa mtumizi

 Mapendekezo yetu na ushauri
Kwa ujumla tunaamini kuwa watangazaji wetu wote na watoa huduma ni wa kweli. Lakini ili kuepuka kudanganywa na kwa ajili ya usalama wako mwenyewe, hakikisha umekutana na muuzaji katika mahali pa umma ama ujiepushe na maeneo yaliyojitenga na umma. Inaweza kuwa wazo nzuri kumleta rafikiyo kushuhudia ile shughuli.

matangazo mengine ambayo yanaweza kukuvutia Matangazo mengine sawa